Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
 
Umeanza kuhamisha magoli
Huo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.
 
Jmn tusifurahie wala kushabikia vita
Vita haina macho,ona watu wanaokufa!
Natamani wayamalize tu ,Mungu awasaidie
Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.

Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.

Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.

Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Yale majeshi imara duniani ya Marekani + NATO (muungano wa nchi kibao) yalichukua masaa mangapi kuiteka Baghdadi?

Kwa kukusaidia tu pamoja na wingi wao (US+NATO) na bajeti zao kubwa ktk mambo ya silaha, iliwachukua siku 7 kuiteka Baghdad.

Ikawachukua mwezi 1, wiki 1 na siku 4 kuiteka Iraq yote.

SmartSelect_20220226-083713_Chrome.jpg
SmartSelect_20220226-083521_Chrome.jpg
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Jama kasha fika Kiev tangu jana saa 11 za jioni, anacho subiria ni amri kutoka kwa Amiri jeshi mkuu kumsaka kiongozi mkuu wa Ukuraini kwa gharama yoyote, tayari walisha wa omba wanajeshi wa Ukuraini wapindue huyu Raisi wao wenyewe ili kupunguza maafa ya raia,
 
Huo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.
Marekani iliingia Baghdad baada ya miezi mingapi ya mapambano?
 
Jmn tusifurahie wala kushabikia vita
Vita haina macho,ona watu wanaokufa!
Natamani wayamalize tu ,Mungu awasaidie
Personally ninataka na NATO wajoin hii vita ili Europe iungue. Hawa jamaa wametutawala kikatili wamechukua resources zetu ,mpaka sasa hivi wanaendelea kututawala indirectly.. Africa tunauana kila siku lkn nobody cares..

Na wao kama wameamua kuuana wenyewe why should we care..
NATO wajoin vita Europe ichakae kama walivyoifanya Libya. Payback ni hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom