Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kubalini ukweli mikwara mingi sana.Tulia we mmarekani wacha watu wapo kwenye mission
Kwa nn unaforce kaa utulie
Ukweli upi mbona unaforce sasa lazima wafe wengi kwanza 😂😂😂tunaenda taratibuKubalini ukweli mikwara mingi sana.
Huo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.Umeanza kuhamisha magoli
Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.Jmn tusifurahie wala kushabikia vita
Vita haina macho,ona watu wanaokufa!
Natamani wayamalize tu ,Mungu awasaidie
Nani kakwambia Puttin anajali uhai wa watu zaidi ya kushinda vita?Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Umeambiwa Neo Nazi wameteka watu kwenye maghorofa Kiev na kwenye maghorofa hayo wameweka Mitambo ya kurusha Maroketi. Ndiyo maana walizuia watu kukimbia mji huo.Kubalini ukweli mikwara mingi saiwa
Mbona mnashuriwa mara nyingi tena na Rais Trump kuwa MSM za magharibi nyingi ni fake news!? Wazi kabisa mleta mada hukuuchukua ushauri huoNani kakwambia Puttin anajali uhai wa watu zaidi ya kushinda vita?
Yale majeshi imara duniani ya Marekani + NATO (muungano wa nchi kibao) yalichukua masaa mangapi kuiteka Baghdadi?Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Jama kasha fika Kiev tangu jana saa 11 za jioni, anacho subiria ni amri kutoka kwa Amiri jeshi mkuu kumsaka kiongozi mkuu wa Ukuraini kwa gharama yoyote, tayari walisha wa omba wanajeshi wa Ukuraini wapindue huyu Raisi wao wenyewe ili kupunguza maafa ya raia,Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Marekani iliingia Baghdad baada ya miezi mingapi ya mapambano?Huo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.
Personally ninataka na NATO wajoin hii vita ili Europe iungue. Hawa jamaa wametutawala kikatili wamechukua resources zetu ,mpaka sasa hivi wanaendelea kututawala indirectly.. Africa tunauana kila siku lkn nobody cares..Jmn tusifurahie wala kushabikia vita
Vita haina macho,ona watu wanaokufa!
Natamani wayamalize tu ,Mungu awasaidie