Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Kuna sheria ya uzazi ya kufunga kizazi.huwezi kufunga kizazi chini ya umri wa miaka 35 isipokuwa kwa sababu maalum za kiafyaJamani, asiwaambie mtu, kulea watoto wa kike ni kazi kubwa sana. Ni wito unaohitaji nguvu kubwa na akili nyingi.
Nimejaribu kuchek na baadhi ya marafiki na majamaa, nimeona wengi kati yao wamejaaliwa kuzaa mtoto wa kwanza wa kike na wa pili wa kike!
Kulingana na nadharia za probability of an event, chances are hata wakizaa tena kuna uwezekano wa 75% ya kupata mtoto wa tatu wa kike na only about 25% ya kupata mtoto wa kiume.
Ili kueupuka kuzeeka mapema kwa stress za malezi, fanya tu kama Obama... Fungeni kizazi mlee hao hao watoto mliokwisha wapata.
Mimi naamini watoto ni watoto na wote wana uwezo sawa tu wa kukusaidia huko uzeeni!
KabisaaaUache kuzaa kisa kushindwa kwako malezi?!!!
Aiii..kama ni kufunga kizazi afunge mwanaume,,,mwanamke usithubutu..utafunga kizazi 2017 ikifika 2020 anakwambia....nataman nijaribu tena tuone kama tutabahatika kupata wa kiume...mxiiew!!!
Yan kufunga kizazi labda uwe na matatzo ya kiafya ila sio fala mmoja akushauri...
Afu usitegemee kupata mtoto mwema kama wewe hukua mwema kwa wazazi wako.
Kukosekana kwa mtoto wa kiume ni tatizo la mwanaume! Mwanamke ana XXna mwanaume ana XY... Wewe ndo unatengeneza jinsia ya mtoto... Usipopata dume ni wewe uliesababisha!Yani bila dume haiwezekani, mpaka kifahamike