Kama mpira basi mimi ni Messi au Cr7

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
442
Reaction score
227
Habari zenu ndugu wapendwa

Niende kwenye mada
Kutokana na hali kuwa ngumu kwa upande wangu,basi nadhubutu kusema nimekomaa kwa umasikini,nina vigezo vyote vya kuitwaasikini,
kama ni mpira basi ningekua EPL au LA LIGA nna sifa zote,kama ni mziki ningekua Jay z au kendrick au 50 cent n.k
ila kwakuwa hali ni ngumu nna hadhi ya kuitwa MSINA CHA KUSORA

UMASIKINI MBAYA SANA
 
unamaanisha nini??

yaan napambana kila siku,nafanya kazi ngumu kila siku,tunapanga mipango na mke wang kila siku
ila nikikosa kazi siku 2 au 3,lazma nilale njaa na mke wangu,kasoro mwanetu lazima ale
 
Unamaanisha kuwa uko karibu kuolewa sio?
 
Serikali imepokea mkopo wa dola million 300 za kimarekani
 
Hakuna maskini wa kulala njaa mwenye uwezo wa kununua bundle aingie JF badala ya kununua unga nusu ale ugali.
 
ukipewa kilo 2 za korosho utakula na familia yako kwa siku ngapi ?
 
Hakuna maskini wa kulala njaa mwenye uwezo wa kununua bundle aingie JF badala ya kununua unga nusu ale ugali.

Jf bila bundle unatumia mbona,namaanisha ni bure kupitia freebasics.com
 
Jf bila bundle unatumia mbona,namaanisha ni bure kupitia freebasics.com
Uza hiyo smartphone ule ugali. Au nayo kwenye nokia tochi kuna freebasics yenye inakuwezesha uitumie kama smartphone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…