Kama mpira ni ushetani basi mbinguni nendeni wenyewe!

My Honest Book

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
1,363
Reaction score
2,161
Ndiyo hivyo me sina mambo mengi ya kusema, siwezi kukosa hii burudani kubwa Duniani eti kwasababu we unasema mpira ni ushetani.

Na haya maimani mko nayo nyie maskini, matajiri wanaenjoy burudani Duniani.
 
Ndo ivo me sina mambo mengi ya kusema,siwezi kukosa hii burudani kubwa duniani eti kwasababu we unasema mpira ni ushetani

Na haya maimani mko nayo nyie maskini,matajiri wanaenjoy burudani duniani

Umekumbwa na pepo gani mkuu??!!😀
 
JF ni kama kokoro, limekusanya mpaka vichaa na mataahira.
 
Ndo ivo me sina mambo mengi ya kusema,siwezi kukosa hii burudani kubwa duniani eti kwasababu we unasema mpira ni ushetani

Na haya maimani mko nayo nyie maskini,matajiri wanaenjoy burudani duniani
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…