Kama mpira una uchawi basi huu wa Fiston Mayele ni uchawi tosha

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kama kweli wewe ni mfatiliaji mzuri timu ya Yanga. Mara nyingi Fiston Mayele amekuwa akiingia golini kwa wapinzani na kugusa nyavu zao.

Na akimaliza kugusa nyavu kinachotokea kwa mpinzani ni kiama tosha yaani ni lazima ufunge goli

Je huu ni uchawi au ni mbwembwe tu
 
Kama kweli wewe ni mfatiliaji mzuri timu ya Yanga
Mara nyingi fiston mayele amekuwa akiingia golini kwa wapinzani na kugusa nyavu zao
Na akimaliza kugusa nyavu kinacho tokea kwa mpinzani ni kiama tosha yaani ni lazima ufunge goli

Je huu ni uchawi au ni mbwembwe tu
Kawaida sana mbona
 
Ngao ya Hisani hakushika hata nyasi, ila sina hakika kama hakufunga. Usitake tudharau uwezo binafsi wa Mayele kwa hisia zako za kishirikina.
 
Kufunga Magoli ni Sanaa ambayo si wachezaji wengi wanayo, kama unafikiri rahisi muulize Mzungu, ilimbidi mbaka Kipa asiwepo golini ndio apate goli lake la kwanza[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama kweli wewe ni mfatiliaji mzuri timu ya Yanga
Mara nyingi fiston mayele amekuwa akiingia golini kwa wapinzani na kugusa nyavu zao
Na akimaliza kugusa nyavu kinacho tokea kwa mpinzani ni kiama tosha yaani ni lazima ufunge goli

Je huu ni uchawi au ni mbwembwe tu
Ngoja nahili tukaliangalie
 
Unauliza uchawi Yanga siku ya derby waliacha gari lao kubwa wakaja na coaster mbili halafu wakapita mlango sio kuingia uwanjani half time wakabadilisha mpira uliotumika kipindi cha kwanza wakipigwa faini hapo utasikia kelele zao kwamba karia anawaonea maana nguruwe pori alishawajaza ujinga tayari.
 
Unauliza uchawi yanga siku ya derby waliacha gari lao kubwa wakaja na coaster mbili halafu wakapita mlango sio kuingia uwanjani half time wakabadilisha mpira uliotumika kipindi cha kwanza wakipigwa faini hapo utasikia kelele zao kwamba karia anawaonea maana nguruwe pori alishawajaza ujinga tayari.
Wewe unaamini simba sio wachawi?? Dunia nzima iliona uchawi wenu kule Sauzi! Huo uchawi wa Yanga ulikuwa wapi miaka 4 tuliyosota bila kombe!? Imarisheni timu zenu la sivyo mtafungwa sana na hii Yanga!
 
Kama kweli wewe ni mfatiliaji mzuri timu ya Yanga
Mara nyingi fiston mayele amekuwa akiingia golini kwa wapinzani na kugusa nyavu zao
Na akimaliza kugusa nyavu kinacho tokea kwa mpinzani ni kiama tosha yaani ni lazima ufunge goli

Je huu ni uchawi au ni mbwembwe tu
Wachawi ni wale waliochoma kiwanja Cha Orlando Pirates hadi wakatozwa faini kule CAF.
 
Unauliza uchawi yanga siku ya derby waliacha gari lao kubwa wakaja na coaster mbili halafu wakapita mlango sio kuingia uwanjani half time wakabadilisha mpira uliotumika kipindi cha kwanza wakipigwa faini hapo utasikia kelele zao kwamba karia anawaonea maana nguruwe pori alishawajaza ujinga tayari.
Kuna wachawi kuliko simba? Hivi mnajielewa kweli nyie au madish yenu yanayumba? Mchawi na mchawi wakikutana kuna mmoja atazidiwa na atasalimu amri ndo nyie, Mmezidiwa ujanja na yanga mnabaki mnabwata bwata tu kama kuku wa mdondo, Tengeneza kikosi bora ndo uongeze na uchawi unaweza kufanikiwa lakini kikosi chako cha kuunga unga halafu mwenzako mwenye kikosi bora unaanza kumuonea wivu, akili za wabongo ni ovyo kabisa
 
Kama kweli wewe ni mfatiliaji mzuri timu ya Yanga
Mara nyingi fiston mayele amekuwa akiingia golini kwa wapinzani na kugusa nyavu zao
Na akimaliza kugusa nyavu kinacho tokea kwa mpinzani ni kiama tosha yaani ni lazima ufunge goli

Je huu ni uchawi au ni mbwembwe tu
Acha kulia lia na kulalamikia straika la CAF unbeaten club ndani ya guiness book of world records lete mzungu Kolo wizard wewe.
 
Kama kweli wewe ni mfatiliaji mzuri timu ya Yanga
Mara nyingi fiston mayele amekuwa akiingia golini kwa wapinzani na kugusa nyavu zao
Na akimaliza kugusa nyavu kinacho tokea kwa mpinzani ni kiama tosha yaani ni lazima ufunge goli

Je huu ni uchawi au ni mbwembwe tu
Anashika nyavu anapokosa magoli. Ni mchezaji wa kikongo anayeamini uchawi. Inawezekana yeye mwenyewe ni mchawi au anaamini wapinzani wake ni wachawi. Yote kwa yote, Mayele ana imani za kichawi.
 
Mayele kwa Afrika hii hakuna wa kumlinganisha naye kwa kupiga mpira
Hii ni Afrika mtaa wa Kigamboni huko? Maana Tanzania tu hapa kuna straika mdogo George Mpole alimkimbiza na kumzidi msimu uliopita na tayari sasa kuna muuaji wa kimya anaitwa Phiri akisikia ulichokiandika anacheka hana mbavu.
 
Back
Top Bottom