njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Dah hizi dharau sasa, msikiti wa Idrissa umewekwa kwenye jezi lakini hata kanisa la azania limeshindikana kweli bwana Ngowi, au ni maelekezo maalumu toka salamander maana hata wao umewaweka kwenye jezi
kama utatengeneza za FA usisahau basi kanisa au hata mwamposa umuweke ndugu yangu na mwakalebelea pia weight yake itavutia kwenye jezi
Hongera sana jezi haina makorokoro kabisa zile ni nakshi tu
kama utatengeneza za FA usisahau basi kanisa au hata mwamposa umuweke ndugu yangu na mwakalebelea pia weight yake itavutia kwenye jezi
Hongera sana jezi haina makorokoro kabisa zile ni nakshi tu