Kama Mtanzania halisi nazitakia kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC katika kundi letu

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars?

Kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC pale tu wakiwa wanacheza na Taifa Stars.
 
Mbona Lissu anapoteza muda wake Ivory Coast kushabikia Taifa Stars hii hii halafu nakusikia wewe unaiita CCM?
Baba ako akiwa maskini ni baba ako tu, tunajua Taifa stars sio bora ila usisingizie siasa kuacha kuishabikia sema tu timu sio bora ueleweke
 
Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars?

Kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC pale tu wakiwa wanacheza na Taifa Stars.
**** la M....
 
Na mimi kidogo nitumbukie kwenye ujinga kama wa mleta uzi, Mungu ni mwema sipo huko.

Kuna namna siasa inafanya mtu asiipende nchi yake, je mtu kama huyu akipata uongozi ataacha chuki kweli??
 
Back
Top Bottom