Mbona Lissu anapoteza muda wake Ivory Coast kushabikia Taifa Stars hii hii halafu nakusikia wewe unaiita CCM?Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars?
Kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC pale tu wakiwa wanacheza na Taifa Stars.
UshindweMorocco 3
Tanzania 0
Tangu lini? Acha chuki za kipumbavu wewe.Kuna ujinga mwingi kwenye siasa ya mpira Tanzania,timu ikishinda ni ya mama kijimkazi,timu ikishindwa ni ya Wananchi.
Ogopa mtu aliyepoteza tumaini. Hata uwezo wa kufikiri unapotea.Dalili ya kua mchawi kama siyo wehu!
**** la M....Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars?
Kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC pale tu wakiwa wanacheza na Taifa Stars.