Kama mtanzania ninajiandaa kumburuza Lusinde mahakamani

Mkuu ntakuunga pia mkono kwa asilimia mia cha msingi tuwekee njia za kukutumia kiasi chochote kwa ni huyu hamnazo kabisa
 

Wamezoea hawa magamba kutukana mitusi ovyo.Tukomae nae huyu Deadstone ******** hadi akale mvua3 jela
 
Kafungue kesi kesho haraka kama ukiitaji msaada wa kifeza tigo pesa na m-pesa tutakutumia.
 
Wazo zuri sana, ila kila nikijifikiria haya:
Lusinde wa ccm
Mahakama ya ccm
Jaji wa ccm
kwa akili zao watakuchukulia wewe ni chadema kwa hiyo usitarajie kupata haki hapo
 
nadhani utakuwa hufanyi masihara punde utakapo fungua tujulishe .ili tujue tutachangia vipi .hongera kwa kuonyesha unajali .
 
Binafsi nampongeza huyu kijana kwa nia yake hiyo, ila napata kigugumizi kwa waliojitokeza na kudai ku-support kwa fedha na ushahidi. Kama hawa ni wa kweli, kwanini wengi wao wasubirie kijana akafungue kesi ndipo wao wa-support? Kwanini wao wenyewe, pamoja na hela na ushahidi walionao, wasifungue kesi? Huu sio woga na unafiki wa Watz walio wengi?

Tena mwingine analaumu wazee kwa kukaa kimya, hivi yeye kama kijana mbona amebaki kulaumu tu asichukue hata uamuzi kwa kwenda mahakamani? Heri wangekaa kimya tusisikie hata unafiki wao huu!

Tanzanians?? Maneno mengi, matendo sifuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…