Kama Mtanzania ukiulizwa hili Swali na ama Raia wa Kigeni nchini au ukiwa Nje ya Tanzania utamjibu vipi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.

Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?

Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao Chokozi Chokozi.
 
Mkuu

Kuna ujinga fulani kwa watu fulani fulani kufanya ujinga huu unaofanyika hivi sasa...

Naamini hili la Kibao litaenda na watu fulani, hizi mambo za uwepo wa #teamfulani ndani ya mifumo yetu siyo kitu chenye afya.

Mtu hana siraha, hana jeshi unamfanyizia kiasi kile?! Kisa tu ni mkufunzi wa vijana wa chama fulani.

Kibao alikuwa mtu muhimu sana kwa ufunguzi wa kufahamu jambo ndani ya jambo naweza kusema ni pigo kubwa sana!

Haya mambo ya teamfulani yaondolewe, watu wafanye kazi professionally na siyo kwa mihemko ya teamfulani.

Inaumiza sana!!
 
Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.

Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?

Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao Chokozi Chokozi.
Jibu sahihi hapa ni: Magufuli amerudi tena.
 
Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.

Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?

Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao Chokozi Chokozi.
Hii kwa kwl n siasa mbona sjasikia watu wachini waktekwa n watu maarufu ndy wanatekwa na kngne n iman ya kishrkna Tz kuna aman na upendo endapo utafanya mamb yanayo kuhusu ukifatilia ya watu ndy kama izo mtu kutekwa
 
Mungu anisamehe lakinj haya mambo ya kutekwa watu yalishika kasi sana wakati makonda yuko kwenye pick na baba yake meko.

Mtaani watu wanaiita Makonda style na amerudi tuu mambo haya ninkama yamebarikiwa tena.
 
Yule umbwa sitakagi hata kumsikia afu anadhara za kijinga sna na mwepesi kutengeneza maudhui kujisafisha one day yes karma issa bi###
 
Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.

Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?

Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao Chokozi Chokozi.
Yaani kama ulikuwepo. Ni juzi tuu, niliulizwa hilo swali na raia wa Morocco tulikuwa kwenye seminar pamoja.
 
Ila kitu cha kushangazq sana huyu mange kimambi toothpick wa marekanai aliwahi ku pre empty haya ya utekaji na yanayoendelea sijui aliyajuaje na kusisitiza kwamba makonda karudishwa kwenye mfumo aje alete iron hand na fear.

Huwa simpendi sana ila napenda lusikia the other side of her stories. Ni kama aliyoyaandika instagram na twitter yanatokea sasa hivi.
 
Zile jitahada za Economic diplomacy na ku attract foreign investment ni kama zinaenda kuchafuliwa na haya maseke ya Enforced Disappearance na Abduction.
 
Back
Top Bottom