GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
MkuuTanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.
Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?
Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao Chokozi Chokozi.
Jibu sahihi hapa ni: Magufuli amerudi tena.Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.
Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?
Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao Chokozi Chokozi.
Hii kwa kwl n siasa mbona sjasikia watu wachini waktekwa n watu maarufu ndy wanatekwa na kngne n iman ya kishrkna Tz kuna aman na upendo endapo utafanya mamb yanayo kuhusu ukifatilia ya watu ndy kama izo mtu kutekwaTanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.
Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?
Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao Chokozi Chokozi.
Yule umbwa sitakagi hata kumsikia afu anadhara za kijinga sna na mwepesi kutengeneza maudhui kujisafisha one day yes karma issa bi###Mungu anisamehe lakinj haya mambo ya kutekwa watu yalishika kasi sana wakati makonda yuko kwenye pick na baba yake meko.
Mtaani watu wanaiita Makonda style na amerudi tuu mambo haya ninkama yamebarikiwa tena.
Yaani kama ulikuwepo. Ni juzi tuu, niliulizwa hilo swali na raia wa Morocco tulikuwa kwenye seminar pamoja.Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.
Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?
Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao Chokozi Chokozi.