Zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika November 27, 2024 Nchi kote.
Sasa kama wewe ni mwananchi wa Tanzania na umejiandikisha ili kupiga kura mwaka huu je utaudhuria kampeni zote ya wagombea kutoka vyama vyote vya kisiasa ili kupima sera zao au utabaki na chama chako?