Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha...usimkatishe tamaa jamani...Biashara hii unaweza kufanya hata nyumbani kwako....nunua nguruwe, uwafunge...wakikua usiuze. waache wazaliane. Faida utapata tena sana ila inataka subira.
Mbona wanakulaga hadi wanadai nyongeza?umejuaje kama siyo muislam?
Wazo zuri lakini nadhani linamfaa aliyekwisha fanya initial investment ya ufugaji kuku, nikimaanisha ana banda, vyombo vya kulishia na kunyweshea na uhakika wa nishati joto....Sasa Je Muuliza swali anavyo?Sadru, cheki soko la kuku wa nyama hapo Mwz. Umeikosa fursa ya Xmas. kifaranga MWZ ni 1600/= kukuza mxmm 2400/= ......