Kama mtu chini ya miaka 18 haruhusiwi kupiga kura, basi iwe marufuku watoto wadogo kufundishwa imani za kidini mpaka wafike miaka 21

Kwahiyo utapeli wa dini ni upi na nani huyo anayetapeli?
 
Kwamfano Salamu ya Kiislamu ni "Salama alekum" ambayo maana yake ni "Amani iwe juu yako"Kiswahili swali langu ni kwanini mkiwa mnakutana msiwe mnasalimiana Kiswahili badala ya Kiarabu hivyo hivyo katika Quruani.
Kwahiyo point yako hautaki itumike lugha ya kiarabu?
 
Ili kichwa kiwakae sawa ni lazima mkubali nyie ni wanyama, and you have insticts that preserve life and that is what you call god.
Dini na maadili ilikuwa ni misingi iliyotumika kumfanya nyani atunze kumbukumbu.
 
Mtoto atafuata Msingi wa kidini atakao pewa na wazazi wake mpaka afikishe miaka 18 ndo ataamua yeye anataka nn
 
Sisi Watanzania tunaelewa zaidi Kiswahili kuliko Lugha za Kigeni.
Mkuu kwa navyoelewa kwenye kusoma Qur'an kupo kwa aina mbili kwa maana kuisoma kwa kuelewa maana ya ujumbe wake na kusoma kama mashairi.
 
Mkuu kwa navyoelewa kwenye kusoma Qur'an kupo kwa aina mbili kwa maana kuisoma kwa kuelewa maana ya ujumbe wake na kusoma kama mashairi.
Watanzania wataelewa zaidi Quruani ikisomwa kwa Lugha yao ya Taifa kama ilivyo Biblia.
 
Watanzania wataelewa zaidi Quruani ikisomwa kwa Lugha yao ya Taifa kama ilivyo Biblia.
Mkuu nimesema Qur'an imetasiriwa kwa kiswahili vipo vitabu vyenye tafsiri ya Qur'an kwa kiswahili,lakini pia hata masheikh wanapofundisha ujumbe uliyo katika Qur'an hutumia kiswahili. Sasa huko kusomwa kupi unakozungumzia wewe?
 
Mkuu nimesema Qur'an imetasiriwa kwa kiswahili vipo vitabu vyenye tafsiri ya Qur'an
Nataka Quruani isomwe Kiswahili nimekupa hadi mfano nimekupa mfano wa Salaam alekum ni Kiarabu kisemitic. Usalama uwe juu yako Kiswahili.

Asubuhi Njema Kiswahili, Good Morning Kiingereza.

Mbona inakuwa ni vigumu kwako kuelewa?!
 
Nataka Quruani isomwe Kiswahili nimekupa hadi mfano nimekupa mfano wa Salaam alekum ni Kiarabu kisemitic. Usalama uwe juu yako Kiswahili.

Asubuhi Njema Kiswahili, Good Morning Kiingereza.

Mbona inakuwa ni vigumu kwako kuelewa?!
Ndio umesema unataka hivyo kwa sababu watanzania wanaelewa zaidi kwa lugha ya kiswahili, nami ndio nimekwambia kama issue ni kuelewa kwa kiswahili mbona Qur'an imetafsiriwa kwa hiyo lugha ya kiswahili ambacho watanzania wanaelewa zaidi, na hata masheikh wanapofundisha ujumbe wa Qur'an hutumia kiswahili hawatumii kiarabu.

Kwahiyo kama huko kusoma kwa kiswahili lengo lako ni ili watanzania waelewe basi nimejibu hapo kuwa tafsiri ya kiswahili ya Qur'an ipo hivyo watanzania wanaelewa.

Unachotaka wewe watu wasome Qur'an kwa kiswahili wasitumie lugha yake ya asili ya kiarabu, sijaona hoja ya kwanini iwe hivyo ukizingatia tafsiri ya kiswahili teyari ipo kwa mwenye kutaka kuelewa maana ya ujumbe kwa lugha ya kiswahili. Kuendelea kubaki kwa lugha yake ya asili(kiarabu) ni kulinda kuharibika asili ya ujumbe wenyewe.
 
Sizunguki nimeweka wazi kabisa.
Unachotaka wewe isitumike kiarabu unataka itumike lugha ya kiswahili, hivyo tutumie kiswahili kwenye kila kitu. Shida ni kwamba unashindwa kushawishi kwa hoja ni kwanini iwe hivyo tofauti na ilivyo sasa.
 
Itakuwa jambo la maana sana.πŸ‘πŸ™πŸΌ
Kwa nini hebu toa sababu za msingi? maana hata sasa Tz kumekuwa mjadala wa kwamba tutumie kiswahili kufundishia au tuendelee kutumia english.
 
Kwa nini hebu toa sababu za msingi? maana hata sasa Tz kumekuwa mjadala wa kwamba tutumie kiswahili kufundishia au tuendelee kutumia english.
Mimi naamini Mungu aliyeniumba hana Kabila sasa kwanini nimuombe kwa Lugha ya Kigeni?!

Nitamuomba Mungu kwa Lugha yangu iwe Kiswahili au Kikabila changu.
 
Uko sahihi,tunalazimishwa kuwa uislam na ukirsto ndio dini zenye maana kuzidi za kwetu za asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…