Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kuna misemo mingi katika jamii ikihamasisha wanandoa waishi tu kwa kuaminiana, watu wasichunguzane ili ndoa zao zidumu muda mwingi. Kama kuna kirusi kimeingia katika ndoa kupitia mke wako ukichelewa kukijua na kukiondoa mapema umekwisha. Wanawake nawajua vyema, ni waelewa na wanakanyika lakini kuna stage ikifika hawawezi kukanyika tena hata uite masheikh laki tatu.
Kwenye ndoa yangu ya miaka 8 nimewahi kuona wife anachati na mtu wa kwao Facebook, ni kijana ambaye hawafahamiani ila ni kabila moja wanaotoka wilaya moja. Kwenye chatting wife alikuwa mgumu maana jamaa alimtaka waonane akiwa likizo maana yuko nje ya mkoa wao kikazi kama mwalimu. Wife alisema ananiogopa hivyo kuonana itakuwa ngumu. Kwa ufahamu wangu nikagundua kama ile chatting ingedumu angalau kwa mwezi mmoja tayari nilikuwa nakwenda kuchapiwa.
Nikamvuta wife nikamwonya nikamwambia unakoelekea kubaya nitakuacha katika mazingira ambayo hutaamini. Nikamwambia kama tu ungekubali kuwa mtaonana ndio ingekuwa talaka yako .Tukaongea tukayamaliza.
Jambo ambalo nilimwonya wife kabla hata hatujaoana ni kwamba siku akitombwa nje na nikajua msamaha wake ni kumfukuza nyumbani na hataondoka na kitu chochote, hata kuku mmoja hatabeba. Kila baada ya mwaka mmoja au 2 namkumbusha hilo jambo. Mwanamke akikolea na mboo ya nje umekwisha, ataishi na wewe kinafiki tu na kama ana uhakika wa mshahara wake au biashara yake iko stable ataanza kukufanyia jeuri ili tu umwache awe free
.
Cases ni nyingi. Moja ilitokea Makete kijiji cha Uwanji mke aliponogewa na mjegeje wa nje kashirikiana na mpenzi kumuua mume halali ili wainjoi maisha. Kweli walimuua kwa kumpiga na jiwe akiwa usingizini.
Kauli kama una wivu wa kijinga utaanza kuzisikia. Hata sumu inayoua kidogokidogo utaipata