Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Nina uhakika hakuna atakaye kujibu hili swali.Mambo ya biblia kaz ipo
Mie huwa najiuliza Sana.BIblia inasema siku ya kwanza mungu aliumba mchana na usiku..na pia inasema jua aliumba siku ya NNE..
Hapo kaz ipo sote tunajua mchana unatokana na jua ,sasa Siijui nuru aliyo iumba mungu siku ya kwanza ipo wapi??
Ngoja waje na majibu yao mkuuNina uhakika hakuna atakaye kujibu hili swali.
Weka andiko mkuu kusaport hoja yakoMambo ya biblia kaz ipo
Mie huwa najiuliza Sana.BIblia inasema siku ya kwanza mungu aliumba mchana na usiku..na pia inasema jua aliumba siku ya NNE..
Hapo kaz ipo sote tunajua mchana unatokana na jua ,sasa Siijui nuru aliyo iumba mungu siku ya kwanza ipo wapi??
Mkuu kwan hapa vipi so mada zile zile au nitakuwa naharbu Uzi was MTU??Weka andiko mkuu kusaport hoja yako