Sidhani kwamba Mwalimu angelikubali chama alichokiasisi kiendelee kufanya madudu hata kufikia kukataliwa na wananchi waziwazi kama tunavyoona sasa. Alternatively, angelinawa mikono na kujitoa CCM. Tukumbuke alishatamka kwamba CCM si baba wala mama yake.