Kama mwanamke hafiki kileleni tatizo si la mwanaume

Kama mwanamke hafiki kileleni tatizo si la mwanaume

Jabakeke

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
386
Reaction score
361
Hakuna sababu ya kuhangaika sijui kutumia mkuyati, sijui vumbi la Bongo kwa ajili ya kumridhisha mwanamke,anayetakiwa kuhangaika ni huyohuyo mwenye tatizo la kuchelewa kufika kunako.

Nilihangaika sana nikajiona dhaifu ,niliyenaye Sasa hivi sipigi pampu zaidi ya sita anakuwa tayari ameanza kuniita majina mazuri hatimaye usingizi wa pono,mtakufa kizembe na hizo dawa za kuongeza nguvu nk ukiona anachelelewa kufika kunako mtafutie dawa yeye mwenye tatizo sio wewe usiekuwa na tatizo.
 
Mbona hueleweki mara umepitiliza siku zako mara hii tena unasema unapiga pump

Wewe ni jinsia gani?

 
Mbona hueleweki mara umepiliza siku zako mara hii tena unasema unapiga pump

Wewe ni jinsia gani?

Hii ndo JF bwana
Fake IDs mpaka jinsi nazo fake [emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hueleweki mara umepiliza siku zako mara hii tena unasema unapiga pump

Wewe ni jinsia gani?

Hana hata kumbukumbu, chezea I'd fake weyeeeh
 
Nakumbuka nilikuaga nasimamia show kwa mdada mmoja mpaka namkojoza,round ya kwanza natumia dakika 20+....lakini huyu nilienae sasa dakika 10 tayari kakojoa bao tatu mpaka tano.

Sent from my HUAWEI CUN-L01 using JamiiForums mobile app
Dakika 10 mwanamke akojoe mara 3??? Uongooooo tena uongooo mkubwa wanawake watakuja kuthibitisha hili
 
Mbona hueleweki mara umepiliza siku zako mara hii tena unasema unapiga pump

Wewe ni jinsia gani?

Unataka kujua jinsia yangu?
 
Back
Top Bottom