Kama mwananchi wa kawaida ninatakiwa kujua madeni yote tunayodaiwa kama nchi.
Tangu awamu ya Sita iingie madarakani haipiti hata mwezi mmoja utasikia nchi ya Tanzania imekopa matrillioni kadhaa Hii tabia hatukuiona Awamu ya Tano na miradi ilikuwa inajengwa kama kawaida.
Leo sikuamini macho yangu niliposoma kuwa Tanzania imekopa Trillioni 2.4 kutoka IMF.
Kwa nini kila wakati mkopo na mlipaji ni mwananchi.
Wabunge amkeni na kukataa tabia hii ya kukopa kila wakati.