Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 151
- 318
Kama Mwanaume unahitaji kuwa na uhakika na userious wa mwanamke kwenye mahusiano mnayoyaendea upendo na utashi wake wa kuyaendea/kuyalinda mahusiano yenu ni lazima uwe mkubwa kama au kuzidi ulio nao wewe simply kwa sababu mwanamke ndiye anayeendesha mahusiano/familia na mwanaume ni kiongozi tu , kumbuka always action speak louder than words observe matendo yake kuliko maneno anayoongea here are some small details to give you guidance
1 Reciprocity : Je mwanamke ana reciprocate jitihada zako kwenye mahusiano? Ni kawaida mwanaume kununua zawadi za gharama kufurahisha mpenz wake ila je umewahi kununuliwa hata nyembe ya kunyolea ndevu na huyo mpenz wako ?
2 Communication /taking initiatives
Ni kawaida katika hatua za awali mwanaume utatumia nguvu kubwa kwenye mawasiliano na kuarrange appointments za kuonana lakini haipaswi kuendelea kuwa hivyo baada ya muda mrefu wa kuwa kwenye mahusiano mind you communication is a two way street.
3. Udadisi na maisha yako
Ni kwa kiasi gan mwanamke anajishughulisha kujua kuhusu maisha yako na watu wa karibu wanaokuzunguka a woman who is genuinely interested atataman ajue vingi kuhusu wewe na pia kuwajua watu wako wa karibu na ikibidi kuanza ku get along nao here and there . Kama mna miaka miwili kwenye mahusiano na hajui jina la ndugu yako hata mmoja ni tatizo.
4.Seeking attention and approval of other men
Ogopa watu wa namna hii hii ni sign ya toxic woman always huwa wanatafuta aliye bora kuliko wewe ni suala la muda tu utapigwa na kitu kizito.
5. Observe anavyo treat watu walio chini yake au maskini.
Its ok kutosaidia watu walio chini si lazima ila ni muhimu kuwa na staha na hii itakupa picha uko na mtu wa namna gani ukiona mtu anawajibu vibaya omba omba au wahudumu wa baa mnapokuwa pamoja take note.
Nb hakuna kitu kinaitwa perfect partner au perfect relationship tofauti na udhaifu kuwepo hapa na pale ni kawaida but mwanaume ni muhimu kuzingatia small details ili usije kutulilia kilio cha paka shume.