Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitaka na ya kutolea aje mwenyewe achukue kodi.Habari wana jamii forums, kuna jambo lanitatiza Naombeni majibu yenu.
Mfano umepanga nyumba na mwenye nyumba wako anaishi mkoa mwingine tofauti na uishio wewe, ukiwa unamtumia kodi ya nyumba je, ni lazima kumtumia na ya kutolea?
Kweli ya kutolea ni LAZIMA.Tuma mzigo kamili. Au mwambie akupe account no ya bank.
Umri wako tafadahli, unaonekana under 18 ivi, Bado hujaanza kuwa bandidu.Habari wana JamiiForums, kuna jambo lanitatiza Naombeni majibu yenu.
Mfano umepanga nyumba na mwenye nyumba wako anaishi mkoa mwingine tofauti na uishio wewe, ukiwa unamtumia kodi ya nyumba je, ni lazima kumtumia na ya kutolea?
AsanteHupaswi kutuma ya kutolea hakunaga biashara hiyo wengi tunawatumia kavu kavu...
HahaMimi ndo mwenye nyumba nasema hiviiii tuma na ya kutolea umeskia eeh
AsanteTuma mzigo kamili. Au mwambie akupe account no ya bank.