johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee kwenye siasa hasa za chama makini kama CCM hakuna kusimangana bali watu wanaelezana ukweli.Walimwengu hamna dogo aisee..wewe leo hii ndo unawasimanga makada wenzio?
I wish JPM ajue kwamba amezungukwa na wanafiki wanaotaka kula tuu. Hata yeye akitoka atabezwa kama watangulizi wake wanavyobezwa! Tena yeye watambeza Zaidi..tena wale waliofaidika na utawala wake...
Na hii ya kutofuata sheria itawatafuna wengi. Tuombe tuishi Maisha marefu tuone wanavyomkana JPM.....Mchana kweupeeee...
Kwa Tanzania ya leo sioni kama kuna mtu aliye sincere na taifa letu. Labda JPM (hii ni topic nyingine). Lakini as a matter of fact wengi wanaopata fursa za uongozi wanataka kula. Nothing more nothing less.
Na wengi wameshajifunza mchezo. Total surrender kwa aliye madarakani. Akiondoka unaanza upya! Tumeyaona na yanajirudia kila siku!
Ukiona leo mtu ana dare kuwakosoa CCM (Nape et al) ni kwamba amefungiwa nje ya geti au ameondolewa ndani ya ukumbi!
Tundu Antipas Lisu anakuonea aibu huko aliko!Aliyekuambia uzalendo ni kuvaa scarf AMEKUDANGANYA wewe JUHA kama ulivyodanganywa jana na mabwana zeno BARICK Mkiongozwa na Juha mkuu wa majuha wa SADC
Sent using Jamii Forums mobile app
JPM mwenyewe mnafiki.Walimwengu hamna dogo aisee..wewe leo hii ndo unawasimanga makada wenzio?
I wish JPM ajue kwamba amezungukwa na wanafiki wanaotaka kula tuu. Hata yeye akitoka atabezwa kama watangulizi wake wanavyobezwa! Tena yeye watambeza Zaidi..tena wale waliofaidika na utawala wake...
Na hii ya kutofuata sheria itawatafuna wengi. Tuombe tuishi Maisha marefu tuone wanavyomkana JPM.....Mchana kweupeeee...
Kwa Tanzania ya leo sioni kama kuna mtu aliye sincere na taifa letu. Labda JPM (hii ni topic nyingine). Lakini as a matter of fact wengi wanaopata fursa za uongozi wanataka kula. Nothing more nothing less.
Na wengi wameshajifunza mchezo. Total surrender kwa aliye madarakani. Akiondoka unaanza upya! Tumeyaona na yanajirudia kila siku!
Ukiona leo mtu ana dare kuwakosoa CCM (Nape et al) ni kwamba amefungiwa nje ya geti au ameondolewa ndani ya ukumbi!
Bwashee kwenye siasa hasa za chama makini kama CCM hakuna kusimangana bali watu wanaelezana ukweli.
Kwenye vyama vidogo vidogo ndio wanasenyengana kama walivyomsengenya Mwambe na Sumaye!
Bwashee CCM hakuna njaa kama hapo Ufipa...... Umemuona Mwita Waitara alivyonawiri baada ya kuachana na " mataputapu" ya hapo kwenu Ufipa?!Leo hii Sumaye akirudi CCM atapewa cheo na utakuwa unamtukuza hivo hivo......Slaa mlimsimanga sana..alivyorudi nyumbani akakumbatiwa..leo hii mnamwita mwanadiplomasia nguli..hahahahah
Vijana wa CCM MJIPANGE...Ingieni kwenye siasa mkiwa mmeshiba. Mkienda na njaa kama mlivyo sasa mtapata taabu sana!