Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Usipochapa kidogo hataelewa achapwe hata kidogo skuingine akitaka kufanya atakumbuka basi hatafanyaDhambi sana kumpiga kiumbe km huyo
Makongoro tena ya kitimoto ndio unayaita mboga?
mtoto kakuelewesha acha uvivu katafute kazi leta mavazi, chakula na malazi acha kuokota vitu vya ajabu machinjioni
Mtoto ni Hazina yako mkuu
Dhambi sana kumpiga kiumbe km huyo

Kwenye malezi ya Mtoto kwa baadhi ya vitu ukisema unaweka busara ujue utampoteza.Hahahaa....hapa ndipo wenye busara huonekana.
Mtoto akikunyea mkono huwezi kuukata bali kauoshe/safisha maisha yaendelee
Mkuu hivyo hapo ungemwaga hicho kilichomo jikoni kisha maisha yakaendelea si eti?Hahahaa....hapa ndipo wenye busara huonekana.
Mtoto akikunyea mkono huwezi kuukata bali kauoshe/safisha maisha yaendelee
Kweli kabisa na ni mkubwa huyo Mtoto kitendo cha kukaacha iko siku katafanya kitu cha ajabu zaidi kuliko hicho.Usipochapa kidogo hataelewa achapwe hata kidogo skuingine akitaka kufanya atakumbuka basi hatafanya
Duuh!!Itabidi nianze kujiadhibu mimi, unajua kwa nini, mimi ndiye mkosaji wa kwanza, sikufunika. Ningefunika, hata kama angekojoa, mkojo ungeishia kwenye mfuniko tu.
Kwenye malezi ya Mtoto kwa baadhi ya vitu ukisema unaweka busara ujue utampoteza.
Hapo ni lazima kapate fimbo mbili tatu na karipio juu ili kasirudie tena.
Mama bora kabisa wewe🤪Kwenye malezi ya Mtoto kwa baadhi ya vitu ukisema unaweka busara ujue utampoteza.
Hapo ni lazima kapate fimbo mbili tatu na karipio juu ili kasirudie tena.
Hahahaa! Mtani nimevuta picha jinsi wababa mkiwakamata watoto hasa wanapoingia kwenye 18 zenu mnavyokosaga huruma.Hapo siyo fimbo mbili tu nikuchapa asisahau hilo tukio maisha yake yote