Kama na hapa hawata toboa, hawa wadogo sijui wapewe nini tena??..

Kama na hapa hawata toboa, hawa wadogo sijui wapewe nini tena??..

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,458
Reaction score
983
ALAMA ZITAKUWA KAMA
IFUATAVYO
A ni 75 hadi 100; huu ni
ufaulu uliojipambanua
B+ ni 60 hadi 74; huu ni
ufaulu bora sana
B ni 50 hadi 59; huu ni
ufaulu mzuri sana
C ni 40 hadi 49; huu ni
ufaulu mzuri
D ni 30 hadi 39; huu ni
ufaulu hafifu
E ni 20 hadi 29; huu ni
ufaulu hafifu sana
F ni 0 hadi 19; huu ni
ufaulu usioridhisha
Kimsingi alama yoyote
kuanzia sifuri hadi mia
moja ni ufaulu wa aina
flani;
Madaraja yatakuwa kama
ifuatavyo;
Division One = pointi 7 hadi
17
Division Two= pointi 18
hadi 24
Division Three = pointi 25
hadi 31
Division Four= pointi 32
hadi 47
Division Five = pointi 48
hadi 49
Yaani mtu akipata E mbili
na F tano, ana division
four; au akipata D moja na
F sita atakuwa na
division four.
Unaipata picha hiyo vizuri
mdau?
 
Dah elimu inazidi kuzorota hakuna kitu hapo mkuu,,,,,madudu mwanzo mwisho!!
 
fikirieni kwa umakini kabla hamjahukumu, naamini ata mipangilio ya maswali katika mitihani itabadilika pia, so kama A inaanzia 75 upatikanaji wake utakua mgumu kuliko 80 ya awali pamoja na alama zingine kama zilivyo orodheshwa, baadhi ya vyuo wastani wake ni 40 mfano udsm na vingine 50 mfano muccobs so kwa sababu iyo huwezi kusema ukiwa udsm utafaulu kwa urahisi kuliko muccobs.
 
Tunakoelekea ni kujitengenezea Taifa la wajinga.....
 
Kumbe ndo walichokuwa wanamaanisha waliposema BIG RESULTS NOW.hapa kuna shida itatokea baada ya miaka mitano hadi sta ijayo,tutakuwa na whitimu wengi wa vyuo vikuu lakin uelewa wao utakuwa mdogo sana.ama kweli sasa naamini kuwa "elimu si cheti" kazi kwetu makabwela kuwaanda watoto wetu angalau wapate elimu inayofanana nawatoto wa wenzetu hawa mana wao wanawapeleka nchi za nje kusoma hiyo mipango mibovu itawwathiri watoto wa masikini sisi.
 
Vipi madaraja na alama kwa A level mkuu?

Tusuburi tu watabadilisha walianza na primary wamesubiri tusahau kidogo wameleta hii ya O level hawa sasa watabadilishiwa madaraja na alama wakikaribia kufanya mitihani ya A level itaendelea hivyo hadi masomo ya juu wao wanachotaka ni BIG RESULTS NOW hawaangalii effects za baadae
 
Dah! hata sijui tunaenda wapi haki ya mungu
 
hii elimu ya kutanua goli wengi wapite itaadidimiza taifa.,eti div5..hii c ni zero ya zaman2
 
wamefanya hivi kutokana na vijana wengi wao ni wa type ya mulugo,wamerahisisha ili kufanikisha big result now na kusaidia ccm kushinda 2015
 
Back
Top Bottom