Kama na hawa wameachana basi, mahusiano ni magumu, aisee

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Juzi pitapita mitandaoni, nikapata taarifa kuwa chirwa na rubeni wameachana, nikataka nijue chanzo, mana huyu Binti watanzania walikua nyuma yake kutokana na kile nacho amini kuhurumiwa,

Inasemekana sababu kubwa ya wao kuachana, ni kuwa ndugu wa mwanaume hawa kuwa tayari ndugu Yao amuoe huyu Binti sijui chanzo, kumbe hata yule mtu alienda kujitambulisha kuwa ni ndugu wa mwanaume kwenye kumposa chirwa kumbe si ndugu ni mtu tu alipangwa asimamie show.

Kama kaka nikaona Hilo linatatuliwa mbona jepesi tu, ni sisi watanzania kusimama kama ndugu wa chirwa na rubeni,

cha kushangaza inasemekana, alipotafutwa Ruben, nae kabadilika tena anadai chirwa ana dharau na hamuheshimu hapo nikapata mashaka huyu chirwa anavo pigania ndoa hivi na anajua kupata mume ni mtiti, kweli ni wa kumdharau Ruben, hapo sasa wanajua wao ila imenisikitisha sana.

Maswali ya kujiuliza

Chirwa kafanyiwa send off juzi, ilihali anajua ndoa hamna na wamesha achana na mume wake je hiyo send off ni ya mwanaume mwingine au? Na kama ni mwingine mbona umma hauja harifiwa?

Chirwa anadai amekubali na kuhusu mwanae atamlea yeye, ina maana tayari ana ujauzito, huyu chirwa ni muumini na ni mtu wa dini ina mana Ali ingiliana na Ruben kipindi wakiwa na mahusiano kabla ya ndoa?
Mambo ya Imani magumu sana.

Ngoja tusubiri nadhani labda watakalishwa chini hawa vijana kiwekwa sawa, Kuna muda tuwe tunasimama kama kaka na dada kuwasimamia hawa vijana, tusikubali kuacha kila jambo lipite.

​
 
Kisheria wewe hauna duty ya kuwapatanisha hawa wala kutatua mgogoro wao hata kama unawachukulia wadogo zako.

KWa uzoefu wangu mdogo kwenye ishu kama hizi acha waliopendana watatue wenyewe kama waendelee ama la. Presha ya nje isiwafanye waendelee ama la.

Tukae kushoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…