Kama na Hii ni Kweli:- Basi Mugabe ni Noma!.

Kama na Hii ni Kweli:- Basi Mugabe ni Noma!.

Mzungu: Unajua kuogelea?
Mugabe: Hapana!

Mzungu: Basi Mbwa ni Bora kuliko wewe! anajua kuogelea!
Mugabe: Kwani we Unajua Kuogelea?

Mzungu: Ndio!!
Mugabe: Sasa tofauti yako na Mbwa iko wapi?
Huyu ni yule wa whatsup!!!
 
Back
Top Bottom