Kama na huyu dogo kaenda wasafi,basi wamelamba dume

Kama na huyu dogo kaenda wasafi,basi wamelamba dume

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Namkubali sana huyu mwamba,Ahmed Abdallah...daah Azam tv ligi kuu bara mbona itakua doro sana,patrick Nyembela anakazi ya ziada sana kuziba pengo la.mwana
Screenshot_20191018-153009.png
 
Ahmed Abdallah mzee wa Mchomo..ila ingekua poa sana Wasafi wangemchukua James Samwel wa palepale Azam,chalii anajua kinyama.
 
kwahyo ina maana kusaga ana miliki CMG na wasafi zote kwa pamoja?
Huyo jamaa ana wivu ile mbaya wamiliki wa wasafi ni watatu diamond,mke wa kusaga.na jamaa mmoja hiv jina limenitoka ila kusaga sio sehemu ya umiliki wa wasafi.
 
Ulichosema ni kweli ila upangalie vizuri uanze na mwenye hisa nyingi ambaye ni mke wa kusaga then Diamond na huyo mwingine.
Huyo jamaa ana wivu ile mbaya wamiliki wa wasafi ni watatu diamond,mke wa kusaga.na jamaa mmoja hiv jina limenitoka ila kusaga sio sehemu ya umiliki wa wasafi.
 
sijawahi kumsikiliza huyu jamaa...ila inawezekana akawa kweli anajua...!
 
Hongera Sana Joseph Kusaga kwa Kumleta Ahmed,tunataka umlete pia Sam Misago,Dulla Planet na Zembwela.
Hongera tena Joseph Kusaga kwa kumleta Zembwela nitaanza kusikiliza 88.9 FM jamaa ni Kichwa sana Zembwela.
 
Back
Top Bottom