Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Sina budi kuanza kusikiliza wasafi FM habari za michezo
Nipo kiongozi habari za siku nyingiBoss upo ndugu.
naskia wasafi wamemchukua na edo kumwembe?? dah
Ila vipindi havitakiwi kuwa na wakali wote kwa pamoja
safi sana!yeah, Eddo ndani.
Hongera Sana Joseph Kusaga kwa Kumleta Ahmed,tunataka umlete pia Sam Misago,Dulla Planet na Zembwela.
Huyo jamaa ana wivu ile mbaya wamiliki wa wasafi ni watatu diamond,mke wa kusaga.na jamaa mmoja hiv jina limenitoka ila kusaga sio sehemu ya umiliki wa wasafi.kwahyo ina maana kusaga ana miliki CMG na wasafi zote kwa pamoja?
Huyo jamaa ana wivu ile mbaya wamiliki wa wasafi ni watatu diamond,mke wa kusaga.na jamaa mmoja hiv jina limenitoka ila kusaga sio sehemu ya umiliki wa wasafi.
CMG ya familia na WCB ana share nyingi.kwahyo ina maana kusaga ana miliki CMG na wasafi zote kwa pamoja?
Hongera tena Joseph Kusaga kwa kumleta Zembwela nitaanza kusikiliza 88.9 FM jamaa ni Kichwa sana Zembwela.Hongera Sana Joseph Kusaga kwa Kumleta Ahmed,tunataka umlete pia Sam Misago,Dulla Planet na Zembwela.