Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mimi nikiwa mzoefu wa ligi hii ya bongo tangu enzi za akina Prof Madundo Mtambo akichezea Reli ya Morogoro, Jimmy Mored kule Tukuyu na wengine wengi ambao nikiwataja humu ntawachosha kwa sababu wengi hamna tofauti na Diamond, nasema Nabi kama ameamua kuondoka Utopolo na kwenda huko aendako iwe sauzi au arabuni, hana muda mrefu atafukuzwa.
Mpira wa bongo unachezwa sana nje ya uwanja, wachezaji wanaongezewa nguvu za giza, timu zinawekeza sana kwenye juju ndio maana walamba koni wakaingia kinyume nyume kule mkwakwani baada ya kuambiwa na mtaalamu wao kuwa ngoma ni ngumu sana, wenzao walianza kuicheza gemu wakiwa kule Algeria, nyie mnaroga Leo, wapi na wapi.
Bw Nabi kila la heri lakn uwezo wako ww sio wa kufundisha sauzi wala wap, naamin utard bongo t maana huku unapaweza kwa sababu ya dua zileeeee