daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Wakiamua Viongozi kuacha Uswahili tunaweza kurudi kwenye Viwango vyetu hakikaSimba bado wanavishoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]simba kwasasa ni timu ya ndondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana tunashindwa kufanya vizuri kuendekeza kamati, unakuta timu ina wazee tupu alafu wakiona Kijana amekuwa wamoto wana mtuliza kwa misumali ili wapate nafasi ya kuchezaKamati zipo kwenye timu zetu kocha anaweza pokea maelekezo pia..... Hawezi pigwa misumali haingii uwanjani
Mrudisheni Barbara.. Yule akienda azam simba itakuwa timu ya mchangani kama ilivyo man UWakiamua Viongozi kuacha Uswahili tunaweza kurudi kwenye Viwango vyetu hakika
Na Mayele kama naye akiamuwa kusepa. Tumetabiri 😅😂🤣Mimi nikiwa mzoefu wa ligi hii ya bongo tangu enzi za akina Prof Madundo Mtambo akichezea Reli ya Morogoro, Jimmy Mored kule Tukuyu na wengine wengi ambao nikiwataja humu ntawachosha kwa sababu wengi hamna tofauti na Diamond, nasema Nabi kama ameamua kuondoka Utopolo na kwenda huko aendako iwe sauzi au arabuni, hana muda mrefu atafukuzwa.
Mpira wa bongo unachezwa sana nje ya uwanja, wachezaji wanaongezewa nguvu za giza, timu zinawekeza sana kwenye juju ndio maana walamba koni wakaingia kinyume nyume kule mkwakwani baada ya kuambiwa na mtaalamu wao kuwa ngoma ni ngumu sana, wenzao walianza kuicheza gemu wakiwa kule Algeria, nyie mnaroga Leo, wapi na wapi.
Bw Nabi kila la heri lakn uwezo wako ww sio wa kufundisha sauzi wala wap, naamin utard bongo t maana huku unapaweza kwa sababu ya dua zileeeee
Barbara si alikuwa Maternity, niliona picha zake akiwa na KichangaMrudisheni Barbara.. Yule akienda azam simba itakuwa timu ya mchangani kama ilivyo man U
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado una mawazo haya bwashee?Muda wa kuondoka Prof Nabi Utopoloni haujafika , enyi Mbumbumbu Fc acheni Ramli chonganishi! Yani utopolo kubeba makombe misimu miwili mfululizo mnataka Nabi aondoke kwanini mmekuwa wanga namna hii! Huu ni muda wetu kufurahi ongeleeni ya kwenu!
Prof Nabi ni kila kitu Utopoloni akiondoka tumekwisha!
Eng Hersi mtu akija ofisini kwako kuongea nawe anaona wazi ulivyo mtu makini and smart please shikilia bomba kwa Prof Nabi mpe pesa akae misimu kumi makolo wote waendelee kutulia Maana Wana midomo sana na miaka miwili Sasa hawana kombe la bara wako kimyaaa wameloaaaa!