StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Kuna trend naiona kwenye siasa za nchi yetu Tanzania.Kila inapoonekana mwamko wa kisiasa kwa Wananchi wengi umepoa basi inatafutwa namna ya kuuamsha mwamko wa kisiasa upya.
Hili la uchaguzi wa CHADEMA ni miongoni mwa hizo namna za kuamsha ari ya kisiasa kwa Wananchi maana ake si kwa mkesha huu. Hii ni dhana yangu Mimi binafsi ruksa kuikosoa kama ina mafindofindo