StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Kuhusu CHAUMA,TLP,CUF vipi vifutwe?😄Tunahitaji vya vikuu viwili kama Marekani na Ghana..
Unajuana maana ya vikuu??..Kuhusu CHAUMA,TLP,CUF vipi vifutwe?😄
Nimekupata vema🤝Unajuana maana ya vikuu??..
Hivyo siovyama vya sisa. Ni jummuiya za chawa wa ccm.Kuhusu CHAUMA,TLP,CUF vipi vifutwe?😄
Huko sawa asilimia 100Kuna trend naiona kwenye siasa za nchi yetu Tanzania.Kila inapoonekana mwamko wa kisiasa kwa Wananchi wengi umepoa basi inatafutwa namna ya kuuamsha mwamko wa kisiasa upya.
Hili la uchaguzi wa CHADEMA ni miongoni mwa hizo namna za kuamsha ari ya kisiasa kwa Wananchi maana ake si kwa mkesha huu. Hii ni dhana yangu Mimi binafsi ruksa kuikosoa kama ina mafindofindo
🤣🤣🤣🤣🤣Hivyo siovyama vya sisa. Ni jummuiya za chawa wa ccm.
Tatizo kuu ni wale wa ulinzi wale wamechawiwa sijui yaan wale kussuport haki huwa ni ngumu sana ila batli huwaambi kitu wataisupport kweupeeeTunahitaji vyama vikuu viwili kama Marekani na Ghana..
Tangia uhuru serikali ni ya chama kile kile tu. Watu wamechoka. Jeshi nalo limeshindwa kusoma alama za nyakati..Tatizo kuu ni wale wa ulinzi wale wamechawiwa sijui yaan wale kussuport haki huwa ni ngumu sana ila batli huwaambi kitu wataisupport kweupeee
Itoe CHAUMA hapoHivyo siovyama vya sisa. Ni jummuiya za chawa wa ccm.
Kazi ipo😄Kumekucha sasa, siasa za porojo porojo za kuhujumu upinzani zinakwenda kukutana na kigingi.
Mimi naona upo sahihi hata uchaguzi wa 2015 watu walikuwa hawana mwamko kwenye siasa ndipo Lowassa akahama kutoka CCM kwenda CHADEMA ili watu wajihusishe tena kwenye siasa.Kuna trend naiona kwenye siasa za nchi yetu Tanzania.Kila inapoonekana mwamko wa kisiasa kwa Wananchi wengi umepoa basi inatafutwa namna ya kuuamsha mwamko wa kisiasa upya.
Hili la uchaguzi wa CHADEMA ni miongoni mwa hizo namna za kuamsha ari ya kisiasa kwa Wananchi maana ake si kwa mkesha huu. Hii ni dhana yangu Mimi binafsi ruksa kuikosoa kama ina mafindofindo