Mnyongeni Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 628
- 731
- Thread starter
-
- #21
Kwenye Avantary ni wewe?
Kwenye Avantary ni wewe?
mi wala sichukii mana navijua hivo vitimbi hawanikomoi watapata wao hasira
Nimecheka mpaka nimekaa chini,duh....!Wanajamvi Kamwene,
Yaani nimesikitika kifo cha Ruge sana
sasa kama nawaona wahaya kwa sifa zao huko msibani
Picha linaanza na tangazo la msiba pale radio one utasikia matangazo ya vifo familia ya Ruge wanatangaza kifo cha mpendwa wao kilichotokea South Africa akiwa kwenye matibabu huku akifanyiwa rufaa ya kupelekwa ughaibuni kwa ajili ya matibabu.
Taarifa zimfikie Dr.Muta aliyepo Uswisi kuelekea Ufaransa kununua vitafunwa pia vimuendee dada ake mkubwa anaeishi Canada anafanyakazi Marekani jiji la Washngton,mdogo wa marehemu aliepo uingereza kwenye masters yake ya engineering on medical and medicine mwaka nne,bila kumsahau shangazi mkubwa aliyepo denmark kwenye private mansion yake kwa mapumziko ya safari yake ya Geneva alikuwa ameenda kudraw pesa za matumizi madogo madogo kiasi cha dola za kimarekani milion mia,pia salamu hizi zmfikie Rweyemamu alie kantaba kwenye Hammer yake new model ya mwaka 2019 zero mileage kijijini alipokuwa anabebea matoke mazishi yatafnyika baada ya mwili wa marehemu kuwasili baada ya kutoka india kwenye postimotam {sijui ndo hivo} mwili utapokelewa na profesa rwechungura kutoka kwenye ndege ya FLY EMIRATES utapelekwa uwanja wa taifa kwa helcopter maalumu ya profesa Muganyizi.
Mungu ailaze mahali pema penye raha ya first class
babu yangu wakati kijana
HHahahaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umefanya nichekw kinyama...
Duuuu babu yako ndo alikua sharobaro hivo!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee kweli mnyongeni mnyongebabu yangu wakati kijana
vipi babu yangu anaweza pata mke huko kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeshindwa kuachana na hilo neno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeshindwa kuachana na hilo neno
Mkuu nikuulize swali la mwisho...babu yangu alikuwa hatari mpaka akawa na wake 5 na watoto 72 mambo ya usharobaro ameanza kitamboalitoka nao Uganda kwenye vita
Mkuu nikuulize swali la mwisho...
Hiyo username_
Mnyongeni mnyonge vip??
Fafanua kidogo naona inamaana.
Sent using Jamii Forums mobile app
We fala kwelimkipata kichaa kama mimi kwenye ukoo wenu wa wenye akilitutajuwa tumefanya dilution ya kichaaa na mwerevu tunapata kichwa kama Jiwe
kuna image moja kubwa asiyekuwa nacho aendelee kunyonywa ipo wazi kabisaaaa mkuu
We fala kweli
Changisha nauli ukamzike babu yako
Usinisùmbue nimefiwa ujue
Sent using Jamii Forums mobile app