Kuna siku moja tulikuwa tumekaa na mzee mmoja wa makamo hivi kwa jili ya kinywaji jioni, huyu mzee ni mpenda totoz na hela anayo sana tu...tukawa tunazungumzia wazee wa style yake kuwa wamezidi kuhonga mpaka vijana tukitoa visenti vyetu tulivyosevu tunaonekana 'hatukei'! Mzee ni mnene kitambi hichooo....akasema 'look at me...hivi ni msichana gani mzuri kijana atanipenda mimi? its obvious ukiniona na msichana mzuri kijana anataka hela yangu tu, na mimi ninayo...kwa nini nisimpe nami nikapata nitakacho!'....ni kweli, wacha hii mibaba ipendwe tu, inajua kuhonga bana!