Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

All in all, kumpa mtu gari na apartment haimanishi mtu ana-care. Be careful with your choice of words.
 
mwe!...loading.....loading....please wait....loging out...
 
Haha ha,
Mjini hapa, kuna wengine skonzi tu lakini wanakula hadi mafao ya uzeeni, khah! Nani anataka hayo?
 
Mkuu haipendwi yenyewe, zinapendwa pesa zao bwana!
 
Saa hizo kamuacha mkewe hana hata vitz ya kutembelea, huku anamuambia mwingine achukue gari kubwa kubwa! Khaa, wanaume......
 
Hahahaaaaa.....nyie hamna pesa, hamjui kubembeleza, mnaringa eti mnaringia uhandsome, mtajuta.
 
i used to be like you madam,baadae nikagundua this kujitutumua policy does work with wanaume wetu, mwanaume anapokuhonga honga hivi ndo anajisikia vizuri na kujiona anakumiliki vizuri.
 
Abeg to differ ooo.

Mwanaume lazima awe na pesa na ahonge. Vijana hongeni wake zenu mtaenjoy duniani.

You live only once boys, make it right.
Kisa cha kumuhonga mke wangu nini? Kama ninacho ntampa au tutakula wote. Sihongi kamwe. Uzoefu wangu unaonyesha mtu akizoea kuendesha maisha kwa chenji chenji na kuhongwa hana msaada sana. Zikitetereka kidogo tu naye anahamia boti nyingine. Anyway kila mtu anachaguzi yake ila I want to live the life that I live and 100% I enjoy it...
 
i used to be like you madam,baadae nikagundua this kujitutumua policy does work with wanaume wetu, mwanaume anapokuhonga honga hivi ndo anajisikia vizuri na kujiona anakumiliki vizuri.
mbona kama wanapenda huko kumiliku haku-last longer? Ni kujidanganya tu rafiki yangu.
 
Huyo mbaba na mdada wapo kwenye b'ness. Mmoja seller, mwingine buyer. Hakuna product/service inayouzwa kwa sh.0.
 
i used to be like you madam,baadae nikagundua this kujitutumua policy does work with wanaume wetu, mwanaume anapokuhonga honga hivi ndo anajisikia vizuri na kujiona anakumiliki vizuri.

unajisikia raha kumilikiwa?
 
Abeg to differ ooo.

Mwanaume lazima awe na pesa na ahonge. Vijana hongeni wake zenu mtaenjoy duniani.

You live only once boys, make it right.

Wanapenda kuhonga ila ch kuhonga hakuna ndio maana wanalalamika, kijana mambo mengi si unajua anahangaika kujenga kamjengo na kausafiri sasa akihonga mwisho wa siku itakuaje maana bidada aliekuwa mrembo enzi zile za uhongaji ameshakuwa mtu mzima kipindi hicho wanafikiria future na ela nyingi wali-spent ili mwanaume ajenge jina nadhani kinadada inabidi wakubali kila kitu ni kwa kiasi na wametoka katika familia gani maana dada zetu nao ni balaa anaamini baba yake hana ela lakini mpenzi wake akisema hana hela ni kilio.
 
Mapenzi ni pamoja na pesa,ndo maana siku hizi hatuna ch mke wa mtu wala mume wa mtu,hiki ni kizazi cha nyoka,Huna pesa hakuna mapenzi wala ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…