Kama ndio wewe utafanyaje???

Nitawauliza shuka dogo au! mbona vichwa hawajafunika?
 
NAAHIRISHA SAFARI... NAWASUBIRI WAMALIZE KUNGONOKA... NAMWAMBIA MKE APIKE MSOSI.... TUNAKULA WOTE MEZANI... AFU NAMPONGEZA JAMAA KWA KUNISADIA.. NA NAMWALIKA TENA AJE WAKATI WOWOTE ANAPOJISIKIA... UNAMWAGA AENDE...!!!:tongue:
 


NIAMBIWA ETI JAMAA ALIJIFANYA ANACHUKUA TAI ALIYO ISAHAU NA KAMA HAKUWAONA VILE.

USILIPIZE KIASASI BALI LIPA UBAYA KWA WEMA.
Hapo nawaona wanume wawili na mwanmke mmoja....! Bado sijajua nafasi yangu itakuwa ni upi.....! Huenda nikawa na reactions zangu....
 
NAAHIRISHA SAFARI... NAWASUBIRI WAMALIZE KUNGONOKA... NAMWAMBIA MKE APIKE MSOSI.... TUNAKULA WOTE MEZANI... AFU NAMPONGEZA JAMAA KWA KUNISADIA.. NA NAMWALIKA TENA AJE WAKATI WOWOTE ANAPOJISIKIA... UNAMWAGA AENDE...!!!:tongue:
Is it possible.....?????
 

Mungu alikwishamaliza kazi yake tusimsingizie, Sisi bado ni binadamu wadhaifu lazima kifanyike kitu cha kibanadamu kama wanavyofanya wao ili wamkumbuke Mungu. Unataka kusema Mungu amebariki upuuzi huo? Hekima ni hapo hapo Mungu atakapokufunulia kama hivyo ushindwe wewe ubaki unamsingizia. Ni kutengana mbele kwa mbele kuepusha shari.
 

kazi ya Mungu ni endelevu mkuu, Mungu anafanya kazi hata sasa. labda ungespecify ni kazi gani unayodhani amekwishaimaliza? kitu cha kibinadamu kinaweza kufanyika na mara nyingi vinafanyika lakini haviwezi kuuondoa uovu duniani. hata arusha majuzi kilifanyika kitu cha kibinadamu (polisi v.s chadema) lakini hakikusolve tatizo na badala yake hofu ndio imeongezeka ya umwagaji damu. sijasema Mungu kabariki uzinzi na kamwe hawezi kubariki dhambi ya namna yoyote. nilichosema ni kuwa tuushinde ubaya kwa wema, tuache njia wazi for Godly reconstruction, nisome vizuri na kwa haki mkuu, utanielewa tu. you have some miles to go before you can understand the love and plan of God for mankind. i will pray for you my dear n' stay blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…