Watanzania, naomba sana tusche fikra hizi za choyo... hizi ndizo zilizofikisha Tanzania hapa tulipo
ni fikra hizihizi mgando ndizo zinazosababisha tushindwe biashara, afya nk... huu ni uchoyo na mbolea nzuri ya ufisadi...
CHADEMA, ungana na yeyote anayependa maendeleo ya nchi hata kama ni CCM.... lets build our country in peace, harmony and UNIT
Let me preach to all ya to ignore Gama's motive... it is ratehr disintegrating our spirit

naunga mkono hojaMara nyingi tulidhani ingekuwa vema Chadema na upinzani kuungana,kweli hatukuona mbali. Kutokana na mambo yalivo katika matokeo, ccm,chadema na cuf vinaonekana. Ila cuf ina kura 1,ccm kura 400, chadema kura 705, ii imeonekana katika vituo vingi sana. Kwa iyo wangeungana wangeongeza kura 1, sipendi tena kutoa hoja za kuunganisha upinzani,nawasilisha tujadili baada ya matokeo yote ya mwaka 2010.