Kama ndoto yaani

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
20,548
Reaction score
5,647
Yaani masuala kama haya pande za South ni kawaida tu. Wazazi hata huwa hawana uchungu na watoto wao, mara utasikia mtu kamtoa mtoto wake kwa njia za kishirikina ili afanikiwe mara na kule mwengine anamla mwanae.

Inasikitisha sana. Madhara ya kuukumbatia ushirikina ndio haya sasa.
 
Hawa watu huwa na roho ngumu sana, mambo haya huwa kama desturi, kwanza wakati huu wanakaribia uchaguzi utayaskia sana mambo ya kihivi.
 
Ni kawaida yao hiyo.It's only that their media is dead otherwise that country.....hapana
 
Huyo aliyefanya hivyo ni mwendawazimu. Mtu mwenye akili timamu hawezi fanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…