muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Dharau zimeanza sasa!
Serikali inakoelekea itatufikisha kwenye point ya mwisho.
Haya mapendekezo kuwa mteje wa nhif atibiwe kwenye kituo kimoja tu huu ni upuuzi kwamba kama nilikua natibiwa mwanza nikiugua nipo dar nisitibiwe?
Eti mgonjwa haruhusiwi kutibiwa zaidi ya mara tatu kwa mwezi, upuuzi mwingine.
Mbona hamsemi wale ambao wanamaliza mwaka mzima bila kuugua mnawafidhisia vipi hela zao?.
Kama NHIF imefilisika itoke kuliko kuja na idea za kipuuzi.