kama ni bayati ya kupendwa hii imepitiliza

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
712
Reaction score
332
Kwanza kwanini baadhi ya wanaume wanapendwa sana na dada wenye nia ya dhati lakini wao hawatilii maanani?.Wandugu ukipedwa raha. Naukiona umependwa bila usumbufu kwa maisha ya sasa basi shukuru Mungu.Kwangu mie naona sasa imezidi kwani kila uchao wadada wengi tena wenye future wananipenda na nimekua nikiwaambia wazi tayari ninaye ila bado inanisumbua kwani kutoa namba ya simu kwangu sioni shida ukizingatia kuwa sina lengo la mapenzi zaidi ya niliye naye. Kinachoniumiza zaidi ni tofauti ya kuambiwa neno na msichana that ' i admire u' or ' I love u'. Naombeni ushauri juu ya hili.
 
hao malaya tu wanataka kukuchuna mbona hata mi wananisumbua
 
imebidi nicheke tu hadi mwanangu blanca ananikodolea macho hapa....sasa hapa tukushauri juu ya nini!!!...
 
Eti mpambanaji, sasa ndi nini hiki unataka ushauriwe?
 
hongera kwakupendwa... Una miaka kumi na ngapi?
 
Kwanza kwanini baadhi ya wanaume wanapendwa sana na dada wenye nia ya dhati lakini wao hawatilii maanani?.Wandugu ukipedwa raha. Naukiona umependwa bila usumbufu kwa maisha ya sasa basi shukuru Mungu.Kwangu mie naona sasa imezidi kwani kila uchao wadada wengi tena wenye future wananipenda na nimekua nikiwaambia wazi tayari ninaye ila bado inanisumbua kwani kutoa namba ya simu kwangu sioni shida ukizingatia kuwa sina lengo la mapenzi zaidi ya niliye naye. Kinachoniumiza zaidi ni tofauti ya kuambiwa neno na msichana that ' i admire u' or ' I love u'. Naombeni ushauri juu ya hili.
kama upo kibisness mamaa!.
 
Bahati haiji mara mbili we zubaa shauri yako!
 
MUTASHOBYA,.oh sorry mpambanaji.com, ur good at blowing ur own trumpet.
big up
 
sijaelewa labda au ... unaomba ushauri wa nini sasa
 
Back
Top Bottom