Kama ni chaga basi mimi nimepewa na kitanda chake

Mkuu francis kibiki mimi nimekuelewa sana, na nimeelewa ulicho type hapa. Kwanza nilitegemea katika uandishi wako walao siku moja ungerudi kwa yule dada unaemuheshimu angalau kutaka ushauri wa kulikoni mbona amekuuzia mbuzi asiefaa? lakini hukurudi kwake.

Pili ni kila siku hapa JF wahenga wanatukumbusha kutojiingiza kichwa kichwa kwenye mahusiano, siku hizi kuna kujilengesha wewe haufahamu? afadhali hukulengeshewa mimba saa hizi kwenye kikao hiki mjadala ungekuwa mwengine hapa. Kuwa makini kijana.

Sasa hapo Mungu amekuepusha na Makaburu na mafisadi hao ambao lengo ilikuwa ni kukunyanganya madini. Kinachokufanya uangue kilio hapa ni kitu gani sasa? Mungu amekuepusha na kikombe hiko badala ya kumshukuru wewe unalia lia!!! kaka...… Songa mbele tafuta mapene mkuu Trump sasa anasomeka 2400 na ushee, Maisha yanaenda kuwa magumu mnoo, achana na mabeberu hao (huyo dada wa hiari na hicho kidemu) tafuta Maisha kwanza
 
Jamaa ana mastelesi mkuu wa kaya anaita maflastuesheni ya kufa mtu,
Mkumbushe pia mapenzi ya siku hizi watu hawawekezi moyo wanawekeza dudu.

Maendeleo hayana chama
 
Jifunze kutumia alama za uandishi. Kikubwa zaidi jua kutenganisha aya. Hii inamvutia msomaji aendelee kusoma na pia apate mtiririko mzuri wa bandiko lako. Jua matumizi ya r na l.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huyo mwanamke aliepagawa nae ni wa haina hii hii ya uandishi.

Na watu wa aina hii ya uandishi unajua tena walivyo.

Anyway, mpe pole on my behalf.
 
Wala hujapenda hicho ni kiraruu cha nyege maana ulikuwa unajipigia kila siku, Tuliza akili tu fanya mambo mengine acha kulia lia
 
Nimeshindwa kusoma kwa kuwa niliangalia mlundikano wa maandishi na sikuona nukta wala paragrafu ktk hiyo habari. Kama kuna mtu mwenye muda aweze kuipanga vizuri
 
mapenzi hayana mbabe nimeamini, pole kwa kuachwa pia pole kwa maumivu...

wanawake wa sasa ukijifanya kuwagawia moyo wako, ipo siku utaukuta jalalani..

#me nishaachaga kupenda kitambo sana, moto wa kupenda siku ukiachwa utakuwa unafukuta moyoni mwako na hakuna wa kuupoza..

Usikate tamaa maana bado una nafasi ya kumpata umpendae.. huwezi jua kakuepushia mangapi kwa kukuacha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wana jf poleni na majukumu pamoja na changamoto mnazopitia katika maisha mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 24,nimejiajili . katika changamoto nilopitia hiii hapa imeniuma sana sijawah kumia kiasi hiki kwenye swala hili la LET HER GO
We mhehe jifunze ku-summarize na kuweka vituo na mikato...
 
Kumbe na mimi ni mvumilivu sana dah nimemaliza kusoma yote [emoji1][emoji1].
Sasa wewe umecheat halafu huyo uliecheat nae pia kakucheat sasa unaumia nini?. Malipo hapa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHA KUJI STRESS NA MTU ALIEAMUA KU MOVE ON, ILI UKOMAE LAZIMA UPATE MAUMIVU KTK MAPENZI, THERE IS NO LEARNING WITHOUT DOING WRONG THINGS, KOSA UMEFANYA AND STILL UNAJIUMIZA KWA MTU AMBAYE UME LET HER GO, NAJUA KUMPENDA NA KUMUACHA AU KUACHANA KUNAUMIZA ILA ILI MAISHA YASONGE YOU MUST LEARN TO TOLERATE UR PAIN,ISITOSHE WEWE NI MTOTO WA KIUME, UNA NDOTO NYINGI KAMA WALIVYO WATU WENGINE NA PIA UNA MTU WAKO SINCE FROM LOW HUYO MTU ULIMPATA KAMA AJALI NA KAONDOKA KAM AMBULANCE SO FOCUS TO UR WOMAN AND YOUR SELF CAREER, LEARN TO LET THINGS GO AWAY IF SO AND IF THEY HURT YOU. HOLDING PAIN CAN BE A SETBACK, UKIZIDIWA NENDA KWA WATOA NASAHA NA WANASAIKOLOJIA WAKUSHAURI ZAIDI, ILA CHUNGA SANA MAPENZI YASIMWAGE MCHANGA KWENYE UGALI WAKO WA KILA SIKU.
 
Ww nawe mwanakuyatafuta mwana kuyapata kuna mahitaji ya kuweza kumpima huna pesa lakini si pesa ya kodi ya pango unafikili yy ataota ww unampima? Mwenzio alihofia kudharilika kurudi home kodi imemshinda hata mm ningetafuta plan B ambayo ningeiona itaniokoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unatamani umwambie hata huyo babe wako umeumizwa lmao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikia dogo,nimesoma pale juu paragraph ya mwanzo na hii ya chini mwisho nimeunga unga nimeelewa!

Wewe kinachokusumbua siyo kwamba unampenda sana huyo malaya kinachokusumbua ni yeye kuwa wa kwanza kukuacha,asili yetu wanaume huwa tunajisikia afueni pale tunapokuwa sisi ndo tunaomuacha mwanamke ikiwa tofauti huwa inatu-pain mbaya kabisa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…