Kama ni chaga basi mimi nimepewa na kitanda chake

Wee jama nikilaza aisee sasa unataka ushauri gani kashakwambia akutaki au unataka hadi upate ukimwi ndyo umuache demu mwenyewe alikutongoza alafu unalialia be a man mademu wazuri na waliotulia ni wengi sana chukua ata uyo rafiki yako umgonge then upotezee mbna wanaume sikuizi tumekuwa maboya sana jmn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Adam nae aliumia baada ya kutenda dhambi
Jilaze kwa dr udekezwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh inabidi kujua unataka nn kwanza
 
u
ko mkoa gani mkuu?? naweza kukusaidia kitu
 
Usijali mkuu hayo ni malipo ya kumcheat mpenzi wako ...siku nyingine usirudie umeshajifunza halafu huyo mtu hadi akakung'ang'ania kiasi hicho alikuwa na lake..next time kuwa makini utafilisika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya mwanamke ni kumpuuzia ,zaid ya hapo utaoga matusi ,move on
 
Hahahaahahahanahahahaanananaa uwiiiiii heheheheheeeee hohohohoooooo yeeeeeeewiiiii hahahaaaaaaaaaa mungu wangu hahahaahahanananaaaaaaaaaaa
 
Mlaumu aliekuunganisha nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka wanawake hawana shukran narudia tena wanawake hawana shukran hata marehem ruge kuna kibinti kilimuumiza sana ila tafuta pesa achana nao malengo jiwekee wewe
 
Aliemaliza kusoma naomba samare
 
Mwenzio alikuwa kwenye mawindo, na wew ukaingia mkenge
 
Hayo ya kawaida dogo, ninadhani uzoefu tu huna. Tena upo vema, ulishakuwa na pa kukimbilia(demu wa chuo), wenzio hapo unakuta wamepoteza mazima.

Mimi ninakushauri huyo mwewe mrubuni muingie tena kitandani kisha mle tigo mpaka uhakikishe mbolea imechafua shuka, kisha funga jalada kaoe kademu kako ka chuo!

Kudaaadenye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…