un-bitten = unbeatenKama ni dua ili Liverpool ishuke, umekosea sana. Liverpool kila Mchezaji ni askari na wanajitoa sana. So far they are the only un-bitten team since independence. Their winning spirit signifies that in the world of politics money isn't everything. VIVA Liverpool = @MagufuliJP
Ila real Madrid ili pigwa 3-0 kwao benerbor wakati ndotimu peke ulio chukua champion league nyingi kuliko zote....sembuse Liverpool hi nnayo ione imeanza hata chechemea haya ebu tusubiri Mr Mango aje.....Kama ni dua ili Liverpool ishuke, umekosea sana. Liverpool kila Mchezaji ni askari na wanajitoa sana. So far they are the only un-bitten team since independence. Their winning spirit signifies that in the world of politics money isn't everything. VIVA Liverpool = @MagufuliJP
Hapo England kuna timu moja kwa sasa ambayo ni Liverpool kwa mbaaaali labda na MC.Kushuka ni lazima pale sio mahali pake awapishe wenye nafasi zao
Hiyo si sababu, kwani mashabiki sio vipofu, kama ni goli limeingia wataliona tu na fauli itaonekana tu hata kwa VARUmetumia Fasihi ngumu sana.
Watashuka vipi wakati game zote wanachezea kwao, refa, vibendera, makamisaa na mtangaza matokeo, wote wamechaguliwa na Tajiri wa Liverpool na ndo anawalipa mishahara.