Japhari Shabani (RIP)
R I P
- Jan 16, 2007
- 721
- 178
Leo katika gazeti la mwananchi la jumapili Warioba: Ikulu kugawanywa - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Jaji Warioba amesema ya kua baada ya muundo wa serikali tatu kwa mujibu wa katiba mpya (kama itapitishwa)Mali zilizokua zikimilikiwa na serikali ya muungano yakiwemo majengo na Ikulu vitagawanywa.Kwa nini hilo halikufanyika kwa CCM baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi?
Kwani mali hizo yakiwemo majengo,viwanja vya michezo n.k ambavyo vilijengwa na Watanzania wote ambao kwa sasa wako kwenye vyama mbalimbali.Kwani mali hizo hivisa sasa zisigawanywe au kuchukuliwa na serikali?
Nini hatima za mali hizo baada ya chama cha CCM ambacho kinakaribia?