Elections 2010 Kama ni hivi basi imekula kwetu!!!!


Did I mention Slaa peke yake hapo??Au unaona machi yanachotaka kuona?:violin:
 
I never contribute to the threads that lead deep down to HELL!
 
Swali la kizushi kwa nini thread zako nyingi huwa unajijibu mwenyewe? Tuma ujumbe uliomo kwenye video hii kwa watu 50 wakiwemo waliokutuma waambie


HATUDANGANYIKI TENA
 
Last edited by a moderator:
Sikushangai naona umeamua kua toilet paper na kujisifu kwa kupakwa kinyesi.

Kwinini unazipa popularity na video zake nyingine zilizo Youtube.Safi.Ndugu,haya ni maoni yako.Nayaheshimu.Malezi yangu hayaruhusu kutumia lugha chafu.I don't get angry,I reason with people no matter how poor is their thinking capacity.
 

Tusitetee upuuzi,tutoe hoja za msingi.:confused2:
 
Inaumaa sana, pale Unapoona Mtu anaedhaniwa kuwa msomi, anapo tetea Upuuzi akiwa anajua fika ni upuuzi, Anapotumia Majukwaa kama hili, kupotosha, kusingizia, kubatilisha maswala yaliyo wazi kabisa.

Katika ufahamu wangu, waweza kum judge mtu katika Maongezi, Jinsi aongeavyo. hasa kwa level ya kwanza.

Sasa mtu abezae Ahadi za Dr Slaa, zenye Scientific utetezi, sidhani kama yuko sawa, Ifike mahala Swala la Utaifa, litetewe kitaifa, Hana Maana yeyote apotoshae hili. Nationalism jamani TUNAKWENDA WAPI???? :confused2:
 


Inawezekana wewe ni daktari wa ujinga au upofu!Kwani kama unashindwa kunakiri jina la Slaa na ukaliandika Silaa utaweza vipi kutabibu wenye magonjwa ya kweli!?BIG Q-mark!
 
Kwa maswali mengi namna hii Mkuu inaelekea umeamka na ndoto mbaya tu, kapate Safari ya moto mchana ili upate majibu!
 
Inawezekana wewe ni daktari wa ujinga au upofu!Kwani kama unashindwa kunakiri jina la Slaa na ukaliandika Silaa utaweza vipi kutabibu wenye magonjwa ya kweli!?BIG Q-mark!

Maswali mazito.:confused2:
 

Da hii kali bana, humu kumejaa uongo na ukweli, it is better ukawa open. Nani kasema ataleta train ndani ya siku 100 za kuwa ikuluni. EBOOOO!!!!!!!!!!!! Usitufanye mabwege kama ulivyo bana.... tunafuatilia hizo hotuba.
 
CCM itapita kwa kishindo.Indiketa iliwaka uchaguzi wa serikali za mitaa.Tz haina swing voters.

Asante mkuu kada namba moja wa ccm uliyetumwa kukatisha tamaa wamependa mabadiliko na maendeleo ya nchi yetu nzuri Tanzania. Endelea kujidanganya na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa ulojaa rushwa na hujuma tele, kumbuka pia wananchi walikuwa hawana hata idea kama mkombozi Dr. Slaa ataingia kwenye kinyang'anyiro cha urais, jibu zuri utalipata october 31.
 

Njaa ndugu yangu weee njaa haina adabu, unaweza kuta anawekwa mjini kwa pesa za kifisadi pia, but mwisho wao unakuja october 31 cha moto watakiona.
 
Njaa ndugu yangu weee njaa haina adabu, unaweza kuta anawekwa mjini kwa pesa za kifisadi pia, but mwisho wao unakuja october 31 cha moto watakiona.

Ni maoni yako.
 
Heri yake aliyesema mke wa rais hatumii fweza za walipa kodi bali kutoka mfuko wa rais. Shehe Yahaya yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…