Ilianza kama utani kwenye Bandari za Tanganyika,Mbuga n.k
Leo naona za Nchimbi ,kama ni kweli itoshe sema mstari mwekundu kwa Tanganyika umevukwa , hii ni history chafu kuwa katika tafa hili, Mzee Warioba wenda hali yake sio nzuri kama baba wa Taifa.
Ni wakati sasa Mungu kuamua Ugonvi kama ni kweli.
Note
Leo sijasalimia ila Mungu awatunze wana jf