Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

ungeazisha post yako mpya ya hilo tangazo lako tuone kama utapata viewers 20,000 na kufikisha page 15
 
nitarudi kukujibu (now niko busy) we kichwa nazi unayetukana mpaka wakwe zako,watoto zako umewaacha wanalelewa na mwanaume mwezio we unakimbilia kuishi nyumba ya baba yako na watoto zako nao sijui wakaishi wapi.
 
- Wewe Dada yako aliyataka mwenyewe, majibu ya maswali yako nimekupa kama ni watoto wangu wapo USA wanasoma, wakija bongo nina Shamba la eka 5 na nyumba kubwa Kinyerezi wataishi, au wakitaka watakaa kwenye my apartment changombe kwa sababu mimi na mke wangu tutaishi apartment yangu ya jamhuri street, ukiachana na mke wako kama Dr. Slaa au Mheshimiwa Sugu, haina maana umemtelekeza na watoto hapana ina maana mmekubaliana kuachana na kila mmoja kuendelea na maisha yake pole sana so far huna hoja ya msingi ila una mapovu ya kuwachwa kwa dada yako, halafu mlidhani nikirudi bongo nitahangaika sasa mmeona nipo vizuri mnahahaha kwenye mitandao kunitukana unafikiri ndio itawasaidia nini le mburulazzz!! hahahahahaahahhaah

THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK LIVE U KNOW HAHAHAHAHA

LE BIG SHOW
 
ungeazisha post yako mpya ya hilo tangazo lako tuone kama utapata viewers 20,000 na kufikisha page 15

- Instagram Party nimeingiza watu 6,000 sasa subiri tarehe 22/11/2014 uone watakuja wangapi umewahi kusikia Skylight na Yamoto wanapiga pamoja? Njoo siku hiyo kama hukujinyonga mjinga wewe unataka nikuoe wewe nini? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
You know mamen Lemutuz..Mamen Le Lodilofa..hanaga shida na mtu sema hua hamumwelewi kuwa anafanya this just for funny...ukikaza mishipa kupurukushana nae utajizeesha mapema...
Dat's watsap mamen Le baharia...give dem shit like Le Lodilofa hahaha
 
- Instagram Party nimeingiza watu 6,000 sasa subiri tarehe 22/11/2014 uone watakuja wangapi umewahi kusikia Skylight na Yamoto wanapiga pamoja? Njoo siku hiyo kama hukujinyonga mjinga wewe unataka nikuoe wewe nini? hahahahahahaha

Le Mutuz

Shikamooo...
 
- Mkuu nasikia hapo karibu na nyumbani kwako kuna Club please nenda chukua chupa ya Gold Moet na supu gharama yangu nipe mpesa namba nitume U know hahahahahahahahaha genius!!

Le Big Show
Ha haa haaa, nitakapokuona na kuomba kupiga picha na Le Mutuz, King of Le mutuz Nation including Le Mpululu, u know nitakukumbusha, we mkareeez! Mpululu anakujua hadi kakutungia mtihani! Mpululuz le namba wani fan u konw!
 
- Le Super gademu mburulazzzz chicken head le fisiz debe tupu U know mazafantazzz hahahahahahahaha

Le Big Show
 
Ha haa haaa, nitakapokuona na kuomba kupiga picha na Le Mutuz, King of Le mutuz Nation including Le Mpululu, u know nitakukumbusha, we mkareeez! Mpululu anakujua hadi kakutungia mtihani! Mpululuz le namba wani fan u konw!

Mpululu Le mbululaz,Le mtumbaz Le fisi au siyo Le big show
Salute mamen
 
- Instagram Party nimeingiza watu 6,000 sasa subiri tarehe 22/11/2014 uone watakuja wangapi umewahi kusikia Skylight na Yamoto wanapiga pamoja? Njoo siku hiyo kama hukujinyonga mjinga wewe unataka nikuoe wewe nini? hahahahahahaha

Le Mutuz

Tutakuwepo kukuunga mkono achana na Le fisi wana wivu wa maendeleo hao na ndo mana bongo bado tuko nyuma
They can never realize the power if popularity inavyokuingizia pesa
They are deadly asleep Le fisi madebe matupu
 
- Halafu wewe Dinazarde sio le mbebez huna le super mutindizizzzz U know kama baby nifah mukareezzz U know hahahahaha nampenda mpaka naumwa U know

Le Mutuz

Hhhhaa unawapenda wabebez wenye super mtindizzz eeeeer, ukizidiwa uniite nikusaidie u know maana unampenda mpaka unaumwaaa hhhhhaaaa
 
Le Mpululu le namba wani fan u know, aanzishe ya nini wakati wewe ni PR manager wake U know! ha haa haaa
Le Mama
 
- Instagram Party nimeingiza watu 6,000 sasa subiri tarehe 22/11/2014 uone watakuja wangapi umewahi kusikia Skylight na Yamoto wanapiga pamoja? Njoo siku hiyo kama hukujinyonga mjinga wewe unataka nikuoe wewe nini? hahahahahahaha

Le Mutuz
Am back..sitakosea nikisema we jamaa mwenye kichwa kikibwa lakini akili zako sawa na za panz..acha kuniletea mie upumbavu wako,naona umeamua kutukana ETI UTANIOA..sema sishangai kama uliweza kumwambia baba mkwe wako kuwa angechelewa ungemuoa yeye pamoja na mtoto wake then utashindwa nini kunitukana mie? mtoto wa baba wewe wala usitake shindana na mie na usione hawa watu wachache wanaokutetea humu ukapata kichwa weeee hao wote nafsi zinawauma kwa sababu wanaishi nao kwa shemeji zao..waliokuchana sio haters ila ni wapiganaji kweli wanajua kutafuta kodi,kulipia bili ya maji ..umeme etc sasa wewe unaishi kwa baba yako umeme,maji,etc vinalipwa na PAYE zetu...achana na mimi kabisa we mtoto wa baba,kwa umri wako huo sio wa kujisifia unaishi kwa baba ila ilitakiwa unajisifia kuwa nimemjengea father apartment moja kali sana,.watoto wa kiume hawajisifiii mbele ya wanawake kuwa wanaishi kwenye apartment ya baba,we si bure utakuwa sio mzima..
 
O.M.G seriously? Napataga shida sana na watu wanaopenda kupakaza mbovu za watu wengine, hasa hasa wanapokuwa too personal! Najiulizaga maswali mengi sana. Because ukisema mbaya, hasa kwenye kadamnasi you never know, unaweza kuonekana mbaya wewe zaidi! Just thinking aloud, kimya kimya nimewaza mengi zaid, U know. You don't like him, basi usifuatilie post zake, stay away, ukifuatilia ina maana anakushika somewhere? If you think Le mutuz ni mburulaz, then kwa nini unatolea povu mburulaz? For me umburula zaidi ni kushadadia maisha ya mtu mwingine, hadi unachukua komputer yako na kutengeneza insha ya maswalii ndeeeefuuuuu! Lazima kuna unachotamani hapo sio bure, unatamani na wewe baba angekupa nyuma usiwe na worries za pesa? Unataka umaarfu na wewe? What exactly do you want from him? Sihitaji jibu btw but kama nilivyosema just thinking aloud, na wewe unaweza kuthink kimya kimya. nilikuwa simjui Le mutuz lakini umenifanya nimjue na kuangalia post zake. Kama wewe sio manager wake, then Mhu, kaimbe tenzi 59!

Le loud thinker!
 
- hahahahahahahahahahahahah chezeya The King Of All Bongo Social MEdia Network, hahaha kwani ,mkuu baba yako umemjengea apartment ngapi hapa mjini maana umelisema sana hilo? Apartment ninayokaa Jamhuri Street ni ya baba? hahahaha baba yako nini hahahaha, kubali yamekushinda mambo ya kurukia rukia watu hamuwajui unaona sasa umeumbuka aibu tupu nyamaza!!

- By the way wewe ni mbebez au mamen? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Acha ubwege wewe,eti watoto wangu wanasoma USA? Unajua wanalipa ada shingapi? unajua wanakula nini? we jama hovyo sana..the good thing mkeo ndio aliomba talaka baada ya kuona we hubebeki wala huna hata vision, tena acha kujilinganisha na Dr Slaa au Mheshimiwa Sugu..yaani huwafikii wala sio saizi yako wenzio hao wanasomesha/wanalea watoto wao na wala hakuna hata mmoja anayeishi kwa baba yake hapo..(Dr is your agement na Sugu ni mtoto wako pia anaweza kuwa hata mjukuu kwako but wewe na wao ni kama Mbingu na ardhi),mwaka jana ulisema unaoa vipi imeishia wapi? oooh demu wangu msomi KUJISIFISHA tu ,kweli ni msomi ndio maana akakumwaga tena vibaya ,,demu saizi yuko kwa bwana mdogo....na soon ndoa inapigwa, we jitahidi ulee mtoto huyu wa b...g mwezio usimtelekeze kama ulivyofanya kwa watoto wengine mkuu, vipi siku hizi umeacha kuazima gari ukawalingishie mabebezzzz?
 
unakana saizi kuwa hukai nyumba ya baba yako? acha ubwege we kichwa naqzi,najua fika kuwa unaishi nyumba ya baba yako,me kwako ni mjukuu wa mwisho lakini nimweza kumjengea nyumba baba yangu mkoani..sema sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…