kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Tuna wasomi wengi sana nchini ila ni ajabu sana kuona Senzo anagombaniwa kiasi hiki. Wale mnaosema ajira hakuna, mnazungumziaje Timu kugombania mtu mmoja tena kutoka South Africa?
Timu ngapi zinahitaji watu kama Senzo ambao hawapo hapa nchini?Je, kwa wasomi huwa mnasomea kazi gani ambazo hazina ajira?
Timu ngapi zinahitaji watu kama Senzo ambao hawapo hapa nchini?Je, kwa wasomi huwa mnasomea kazi gani ambazo hazina ajira?