Kama ni kweli kuondoka kwa Senzo ni pigo kwa Simba, basi kumbe uongozi sio shule ni kipaji

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Tuna wasomi wengi sana nchini ila ni ajabu sana kuona Senzo anagombaniwa kiasi hiki. Wale mnaosema ajira hakuna, mnazungumziaje Timu kugombania mtu mmoja tena kutoka South Africa?

Timu ngapi zinahitaji watu kama Senzo ambao hawapo hapa nchini?Je, kwa wasomi huwa mnasomea kazi gani ambazo hazina ajira?
 
Senzo akiweza kuongoza Yanga nitamuona ana kipaji cha uongozi.

Hakuna timu yenye majungu kama Yanga. Yanga kila mtu mjuaji hadi mashabiki wasiochangia chochote wanatamani wapange kikosi.

Tusubiri tuone Wakimataifa.
 
Kwa jicho la tatu hili ni zuri sana kwa senzo kwenda yanga kupandisha standard ili soka letu likue zaidi yanga ilikuwa dhaifu hadi sio poa, akitoka yanga aenda timu zingine ndogondogo ili nao wakue
 
Senzo akiweza kuongoza Yanga nitamuona ana kipaji cha uongozi.

Hakuna timu yenye majungu kama Yanga. Yanga kila mtu mjuaji hadi mashabiki wasiochangia chochote wanatamani wapange kikosi.

Tusubiri tuone wa KIMATAIFA.
Mashabiki wa Simba mnachangia shillingi ngapi?

Nyie endeleni kujisahau na kujificha kwenye hela za MO,siku akibwaga Manyanga wale wachezaji wenu sijui mtawalipa nini.

Aliwajambisha kipindi kile cha mapinduzi cup mlitafutana na kuanza kulialia.
 
MAWILI KATIKA MATATU NOMEYAPENDA

Na Mwandishi Wetu;
1. Hassan Bumbuli na Bosi wake Eng. Said Herze wamekua, kile kilio Cha kumgombania Morisson kimetulia

2. Senzo ameangalia fursa akaiona na kaamua kuichangamkia.

ILA
3. Mnanyang'anywa mpishi mnasajili mtumwa viungo.

My take;
Chadema wangeiga hili walilofanya yanga basi chama Chao kingekua kinatoa matumaini angalau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…